Hawza/ Mwanachama wa Kambi ya “Uaminifu kwa Muqawama” amesisitiza kwamba; silaha ya Muqawama, ambayo imekuwa kiwakilishi cha uwepo wetu, imethibitisha ufanisi wake katika kukabiliana na adui…
Hawza/ Ihab Hamadeh alisema: Hata kama dunia yote itaungana dhidi yetu, hawataweza kamwe kutunyang’anya kwa nguvu hata chembe ya heshima yetu, ardhi yetu na ari yetu; ingawa sasa wameungana dhidi…