Hawza/ Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky iliandaa hafla ya kumbukumbu ya kufikia mwaka mmoja wa mashahidi wa ajali ya ndege iliyotokea mwezi Mei, siku…
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, asubuhi ya jana, katika kikao na familia ya Shahidi Raisi na mashahidi wengine, pamoja na familia za mashahidi waliokuwa na nyadhifa za juu katika…