Ibada ya Hijjah (6)
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika ujumbe wake kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu amesisitiza:
DuniaWamarekani wajue kwamba muda haurudi nyuma/ Kujitenga na washirikina kwa hakika; ni jambo linalozidi msimu wa Hija
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kuwadia kwa msimu wa Hija ya Ibrahim, amezitaja ibada na adhkari…
-
Kaimu Mkurugenzi wa Hawza ya Imaam Swa’adiq (as) Katika Ujumbe wake wa Hijjah:
DuniaViongozi tengeni Muda katika Kusikiliza Kero za Wananchi Wenu
Hawza/ Katika mwendelezo wa miongozo ya kiroho na kijamii iliyotolewa katika Ujumbe Maalum wa Hijja wa mwaka huu 2026, Kaimu Mkurugenzi wa Hawza ya Imaam Swa’adiq (as) iliyopo jijini Dar es Salaam,…
-
Mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Italia katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja”:
DuniaHija ni kiungo kati ya Muumba na viumbe pamoja na wanaume na wanawake waumini duniani kote
Hawza/ Mwanamke mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Italia alisisitiza kuws: Siku za Hija ni siku za mshikamano wa mataifa, jamii, makabila na tamaduni, kuzikomboa roho kutoka katika utumwa wa…
-
Mwanazuoni wa Bahrain katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja”:
DuniaFaradhi ya Tawhidi na kisiasa ya Hija haina maana bila ya kujitenga na washirikina
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza za Wabahrain walioko Iran ameelezea “kuwambali na washirikina” kuwa ni msingi wa Qur’ani na akasisitiza: Hija ni faradhi ya Tawhidi na ya kisiasa, na kama alivyosema…
-
Mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Syria katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja” alielezea:
DuniaHija na umoja wa umma wa Kiislamu katika kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu na kampeni za uchochezi wa chuki
Hawza/ Mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Syria anaamini kwamba katika zama ambazo chuki dhidi ya Uislamu inaendelea kuenea katika baadhi ya jamii za Magharibi, Hija imejitokeza kama ujumbe wa…
-
Mwanaharakati wa Kitamaduni kutoka Iraq katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja”:
DuniaMafungamano ya Waislamu ni miongoni mwa malengo ya faradhi ya Hija
Hawza/ Mwalimu na mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Iraq anaamini kwamba, Mwenyezi Mungu kupitia faradhi hii ya Kiungu anataka kuwakaribisha Waislamu wao kwa wao na kuwafanya kuwa mwili mmoja…