Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Farrokh-Fal, huku akizungumzia hali ya nchi ya Iran, alisema: “Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu Mtukufu, tutamfanya adui ajute kutokana na muqawama wetu madhubuti,…