Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Imani-Pour alisema: Yale yanayotokea Ghaza yanakutana na upotoshaji na kufichwa, wanafanya mauaji ya halaiki na jinai kisha wanadai amani, wanaua watoto wasio…