Hawza/ Taasisi ya Hujjatul Asr Society Of Tanzania iliyopo chini ya usimamisi wa Sayyid A'rif Naqawi imeadhimisha Arubaini ya Imam Husein (as) kwa mwaka huu wa 2025 sawa na 1446 Hijria