Hijjah (6)
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika ujumbe wake kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu amesisitiza:
DuniaWamarekani wajue kwamba muda haurudi nyuma/ Kujitenga na washirikina kwa hakika; ni jambo linalozidi msimu wa Hija
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kuwadia kwa msimu wa Hija ya Ibrahim, amezitaja ibada na adhkari…
-
Mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Italia katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja”:
DuniaHija ni kiungo kati ya Muumba na viumbe pamoja na wanaume na wanawake waumini duniani kote
Hawza/ Mwanamke mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Italia alisisitiza kuws: Siku za Hija ni siku za mshikamano wa mataifa, jamii, makabila na tamaduni, kuzikomboa roho kutoka katika utumwa wa…
-
Mwanazuoni wa Bahrain katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja”:
DuniaFaradhi ya Tawhidi na kisiasa ya Hija haina maana bila ya kujitenga na washirikina
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza za Wabahrain walioko Iran ameelezea “kuwambali na washirikina” kuwa ni msingi wa Qur’ani na akasisitiza: Hija ni faradhi ya Tawhidi na ya kisiasa, na kama alivyosema…
-
Mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Syria katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja” alielezea:
DuniaHija na umoja wa umma wa Kiislamu katika kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu na kampeni za uchochezi wa chuki
Hawza/ Mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Syria anaamini kwamba katika zama ambazo chuki dhidi ya Uislamu inaendelea kuenea katika baadhi ya jamii za Magharibi, Hija imejitokeza kama ujumbe wa…
-
Mwanaharakati wa Kitamaduni kutoka Iraq katika kikao maalumu cha “Hija; Mahali pa Miadi ya Umoja”:
DuniaMafungamano ya Waislamu ni miongoni mwa malengo ya faradhi ya Hija
Hawza/ Mwalimu na mwanaharakati wa kitamaduni kutoka Iraq anaamini kwamba, Mwenyezi Mungu kupitia faradhi hii ya Kiungu anataka kuwakaribisha Waislamu wao kwa wao na kuwafanya kuwa mwili mmoja…
-
DiniMtazamo ya Ayatullah al-‘Udhma Makarim Shirazi kuhusu kwenda Hijja mwaka huu
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Makarim Shirazi alijibu swali la kifiqhi (istifta) kuhusu kufika katika Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu (Baytullah al-Haram) na safari ya Hijja kwa kuzingatia hali za…