Ubalozi wa Iran nchini Bosnia na Herzegovina wamjibu Marco Rubio kwa kejeli, huku wakirejelea historia ya maelfu ya miaka ya ustaarabu wa Iran.