Hawza/ Kuharibiwa kwa utambulisho halisi wa Kishia nchini Bahrain si tuhuma inayotolewa dhidi ya mfumo tawala, bali ni mradi hatari ambao unaendelea kutekelezwa bila kuchelewa.
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amelaani udhibiti wa mfumo tawala juu ya mali za wakfu wa Kiislamu, hususan mali na ardhi za wakfu zinazomilikiwa na taasisi za Mashia nchini…