Ghaiba (7)
-
DuniaImam Askari (as) Aliwalea Mashia kwa Ajili ya Kuandaa Mazingira ya Kudhihiri Imam Mahdi (aj)
Hawza/ Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi katika Mkoa wa Khorasan Razavi (Mash-had, Iran), huku akisisitiza kwamba harakati ya wananchi katika njia ya Mapinduzi ya Kiislamu inaandaa mazingira…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti kusuhisana na Mahdawiyyah (50)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Pili)
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki pia ni jambo la lazima. Wenye kunyongeshwa ulimwenguni…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (49)
DiniMahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Qur’ani Tukufu imezungumzia kwa ujumla juu ya kudhihiri na kisimami cha Hujjat Imam Mahdi (aj), na imeonesha bishara ya kuundwa serikali yenye uadilifu kimataifa na ushindi kwa watu wema.…
-
Kuielekea Jamii Bora: Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 48
DiniWajibu na Majukumu Maalum ya Wenye kusubiri
Hawza / Katika zama hizi si haba watu ambao, kwa sababu mbalimbali, hawawezi kuvumilia katika kumuamini Imam aliye ghaibu na kumkumbuka yeye. Kwa kuwa moja ya mafundisho muhimu ya dini ni subira…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 47
DiniWajibu na Majukumu ya Kawaida kwa Wanaosubiri (Al-Muntadhirīn)
Hawzah/ Wajibu na majukumu ya wanaosubiri hayako mahsusi kwa kipindi cha ghaiba tu; huenda kutajwa kwake miongoni mwa wajibu wa kipindi cha ghaiba ni kwa madhumuni ya kusisitiza tu.
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 46
DiniNafasi na Daraja la Wenye subira ya Kweli juu ya Imam Mahdi (aj)
Hawza/ Kwa sababu ya hali maalumu inayowakumba watu waliopo katika zama za kusubiri, iwapo watakuwa na subira ya kweli, watapata hadhi na cheo cha thamani kubwa mno.
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as)– 45
DiniNafasi ya Intidhar (Kusubiri ) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Intidhār (kusubiri kudhihiri) hakubatilishi wajibu wala hakutoi ruhusa ya kuchelewesha utekelezaji wa matendo, uzembe katika majukumu ya dini na kutojali dini, kwa namna yoyote ile, si…