Hawza/ Naibu wa utamaduni wa Kikosi cha Majini cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu huku akirejea nguvu ya kijeshi ya Iran alisema: Mlango wa Hormuz uko milele chini ya mamlaka na udhibiti wa…
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi Iran, ametuma ujumbe wa rambirambi kufuatia kuuawa kishahidi Kamanda wa Jeshi la Majini, Alireza Tangsiri.