Hawza/ Mwezi wa Rajabu una fadhila nyingi kama kufunga, kuswali swala maalumu, usiku na mchana wake, hususan siku ya kumi na tatu ambayo ina amali mahsusi na fadhila kubwa. Tarehe kumi na tatu…
Hawza/ Ayatullah Marwī katika hitimisho la darsa yake ya fiqhi alisema: “Tuufanye mwezi wa Rajab kuwa mwanzo wa kuzijua zaidi dua za Ahlul-Bayt (a.s); ni kwa lugha gani tunaweza kusema kwamba…
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC) amesisitiza kuwa mwezi wa Rajabu ni kipindi maalum cha amani, utulivu, na kufanya ibada, aliyasema hayo wakati akihutubia kwenye…