Elimu (6)
-
Ayatullah al-Udhma Subhani:
Dunia“Elimu ya Kalam na Falsafa” ni ufunguo wa kuelewa maarifa ya kiitikadi na kukabiliana na shubha
Ayatullah al-Udhma Subhani, huku akisisitiza nafasi ya elimu na wanazuoni katika maarifa ya Kiislamu, alisema: Kila elimu ambayo inawahudumia wanadamu na inaweza kutatua matatizo ya jamii ina…
-
Rais wa Baraza la Umoja wa Waislamu Pakistan:
DuniaUislamu Unamlingania Mwanadamu Elimu, Tafakuri na Kugundua Ukweli
Hawza/ Seneta Raja Nasir Abbas Jafri, akisisitiza uhusiano wa kina uliopo kati ya elimu na mafundisho ya Kiislamu, amesema: Uislamu ni dini ya elimu na uelewa, na unamlingania mwanadamu kutafakari,…
-
Ayatullah A’rafi afafanua:
HawzaMikakati mikuu ya uongozi wa elimu na malezi / Kusisitiza kuhamasishwa uwezo na rasilimali zote kwa ajili ya ukuaji na ustawi wa elimu na malezi
Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, amefafanua mikakati mikuu ya uongozi wa elimu na malezi, huku akisisitiza umuhimu wa kuhamasisha uwezo na rasilimali zote za wananchi na serikali kwa ajili ya…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaMalezi ya Kielimu na Kidini kwa Kizazi cha Vijana ni Jambo Lisiloweza Kupuuzwa
Hawzah/ Hujjatul-Islamu wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqavi amesisitiza umuhimu wa malezi ya kielimu na kidini kwa kizazi cha vijana, na kusema: “Ushindani wenye afya ya kielimu baina ya shule…
-
Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli:
DuniaElimu Iliyopitwa na Wakati na Kuchakaa Haifai kwa Hawza na Vyuo Vikuu/ Bila Imani, Elimu Haiwezi Kujengwa
Hawza/ Ayatullah Jawadi Amuli, huku akisisitiza umuhimu wa kufikia elimu mpya na yenye afya, ameeleza kwa msisitizo: Elimu ambayo imepitwa na wakati na kuchakaa, haiwezi kuipeleka Hawza katika…
-
Ayatullah Arafi:
HawzaJumuiya ya Madaktari ni Hazina Adimu ya Elimu, Ujuzi na Maadili ya Kitaaluma
Hawzah/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran amesema kuwa; jumuiya ya wasomi wa udaktari ni hazina adimu ya elimu, ujuzi na maadili ya kitaaluma, ambayo jukumu lake ni kulinda uhai na afya ya binadamu.