Hawzah/ Kwa kuanza mwaka mpya wa masomo nchini Canada, shule binafsi ya Edmonton imefungua milango yake kwa wanafunzi kutoka katika makundi yote. Shule hiyo ya msingi inafuata masomo ya kawaida…