Hawza/ Kituo cha J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania chini ya usimamizi wa Dkt. Aly Taqawi, Raisi na mwakilishi wa J'amiatul-Mustafa nchini Tanzania, kimefanya maadhimisho ya hafla ya Maulidi ya…
Hawza/ Sherehe ya Maulidi ya Kitaifa nchini Tanzania imefanyika usikubwa kuamkia leo Mkoani Tanga katika Wilaya ya Korogwe, huku viongozi Mashuhiri wakihudhuria katika hafla hiyo, na wafuasi…
Hawza/ Wanafunzi wa Tanzania, Malawi na Burundi wakutana na wakili wa Jaamiatul-Mustafa pamoja na Raisi wa Taasisi ya Bayani ili kujadili jinsi ya kuweza kumkuza mwanafunzi hasa hasa katika kutumia…