Hawza/ Babak Negahdari alibainisha kuwa hatua za Yemen si tu zimeongeza gharama za utawala wa Kizayuni na Marekani katika eneo, bali pia zimeutikisa ubeberu kwenye sekta ya kiuchumi hasa Marekani,…