Hawza/ Waziri Mkuu wa Malaysia, Datuk Seri Anwar Ibrahim, amesisitiza: “Elimu ya Kiislamu ni utajiri, chuo Kikuu cha Kuala Lumpur kinapaswa kuwasaidia vijana kuukaribia zaidi utajiri huu.”