Hawza/ Rais wa Mexico kwa kukataa mwaliko binafsi wa Donald Trump wa kujiunga rasmi na “Kamati ya Amani katika Ukanda wa Ghaza”, ametangaza kuwa nchi yake itatuma tu mwakilishi kama mwangalizi…