Hawzah / Rais wa Chile amesisitiza kwamba hataki Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, auawe katika shambulio, bali inapaswa ashtakiwe mbele ya mahakama ya kimataifa kwa kosa la mauaji ya…