Hawza/ Idadi ya watu waliokuwa katika mkutano wa wanaoiunga mkono Palestina uliofanyika kwenye daraja la Harbour jijini Sydney ilizidi matarajio na makadirio yote!