Hawza / Ni kweli kuwa binadamu ameumbwa kwa taabu; lakini baadhi ya watu ni kama kioo cha dhahiri cha uvumilivu wa Mwenyezi Mungu duniani, na bibi Zainabu (sa) alikuwa wa aina hiyo.