Hawza/ Bibi Zaynab (sa) alikuwa mwanamke mwenye akili, ujasiri na subira ya kipekee; kwa ufahamu kamili wa misukosuko, aliandamana na Imam Hussein (as), na kwa hotuba zake pamoja na uongozi wake…