Mzungumzaji wa Haram Tukufu ya Bibi wa Karama amesema: Bibi Fatima Ma’asuma (s.a.) ni kielelezo dhahiri cha nafasi ya juu ya mwanamke katika Uislamu, na ukuu wake wa kielimu na kiroho unaonesha…