Hawza/ Kwa kuthamini miaka mingi ya huduma zenye athari katika maendeleo ya benki na fedha za Kiislamu, Tuzo ya Benki ya Kiislamu ya mwaka 2026 imetolewa kwa Hujjatul-Islam wal-Muslimin Shabbir…
Kikao maalumu kuhusu Benki ya Kiislamu kimefanyika katika "Jāmi‘at al-Kawthar", Islamabad Pakistan, kikiwa na lengo la kueneza dhana ya kifedha katika uislamu, huku kikihudhuriwa na maulamaa…