Hawza/ Katika kujibu njama za maadui, Baraza la Maulamaa wa Najaf Ashraf limetoa tamko na sambamba na kuitambulisha Jamhuri ya Kiislamu kama “ngome ya mwisho”, limesisitiza kuiunga mkono kikamilifu…