Hawza/ Balozi wa Yemen nchini Iran amesema kuwa; wanamapambano wa Ansarullah wamepata ushindi mkubwa kwa kutumia rasilimali chache sana, wakati adui wao ana wapiganaji 80,000 wenye vifaa bora…