Hawza/ Ayatollah Sayyed Yasin Mousavi, Imam wa Ijumaa Baghdad, ametoa taarifa kali baada ya kauli ya kukera ya Trump mwenye kutenda jinai.
Hawza/ Mamia ya watu waliandamana jioni ya Jumatatu katikati ya mji wa Baghdad kuonesha mshikamano wao na Iran.