Hawza/ Mjumbe wa Jumuia ya Walimu wa Hawza ya Qom, kwa kutegemea ushahidi wa kihistoria, alikanusha shubha zilizoenezwa na baadhi ya wenye nia mbaya dhidi ya uhalisi wa Nahj al-Balagha na madai…