Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Musawi, huku akikosoa ukimya na kutofanya lolote kwa baadhi ya nchi za Kiislamu na Kiarabu mbele ya mauaji ya Wapalestina, amesisitiza juu ya ulazima wa kuchukua…
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Musawi alisisitiza kwamba kuondoka kwa majeshi ya Marekani kutoka Iraq ni matokeo ya “shinikizo la wananchi, bunge na muqawama” na wala si matakwa ya Washington,…