Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi (9)
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad atahadharisha kuhusu kuongezeka kwa mpasuko kati ya tabaka la kisiasa na wananchi wa Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi ameonya kuhusu kuwepo kwa mpasuko mkubwa kati ya tabaka la kisiasa na wananchi wa Iraq, huku akisisitiza kuwa; nchi ipo katika njia panda kati ya mamlaka…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaIraq inahitaji maamuzi huru yasiyo chini ya utawala wa Marekani
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, huku akisisitiza umuhimu wa kulinda mamlaka ya kitaifa ya Iraq, ameonya kwamba; nchi hiyo inahitaji maamuzi yaliyo huru kikamilifu na mbali na utawala wa…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad atoa tahadhari kwa kusema:
DuniaIraq iko mbele ya mabadiliko ya hatima katika hatua ya kuchorwa upya kwa mizania ya nguvu za dunia
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, akitoa tahadhari kuhusu “mlipuko hatari wa kijamii” nchini Iraq unaotokana na kutengana kwa mikondo ya kisiasa na matakwa ya wananchi, alisisitiza kwamba;…
-
DuniaMtazamo wa Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad kuhusu mabadiliko na vita vya kikanda
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Mousawi, akitoa tahadhari kuhusu “machafuko ya jumla” katika eneo yanayotokana na ushindani wa madola makubwa, alisisitiza kwamba; vita vijavyo vitabadilisha kwa…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaKusimama kidete kwa Iran na uthabiti wa Hizbullah kuliilazimisha Marekani na Israel kukubali usitishaji wa mapigano
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi alisisitiza kuwa; msimamo thabiti wa kimkakati wa Iran pamoja na ustahimilivu wa kijeshi wa Hezbullah, uliibadilisha mizania kwa manufaa ya muqawama na kuilazimis…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Baghdad:
DuniaVita vya leo si mgogoro kati ya Iran na Marekani; ni vita kwa ajili ya haki ya dini na hatima ya Umma
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, huku akisisitiza kwamba matukio yanayoendelea yanazidi migogoro ya mipaka, aliona kwamba; kutokuwa na upande wowote katika vita vya Ramadhani ni kuungana…
-
DuniaTahadhari ya Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad kuhusu dalili za utawala wa kigeni nchini Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, huku akisisitiza kwamba; uhuru wa Iraq ni kipaumbele cha kitaifa, alionya kuhusu uelekezaji wa kimakusudi wa vyombo…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaUongozi wa hekima wa Ayatollah Khamenei unahakikisha mwendelezo wa ushindi
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Mousawi, katika tamko lake, ameutaja uongozi wa hekima wa Mtukufu Ayatollah Khamenei kuwa ni ufunguo wa kuendelea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu—ikiwemo ushindi…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Baghdad:
DuniaUsalama wa Iraq Unategemea Kukomeshwa Utegemezi wa Kigeni
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, akisisitiza kuwa usalama wa Iraq utaweza kudumu tu kwa kujinasua kutoka kwenye utegemezi wa kigeni, alitoa wito wa kuundwa kwa serikali huru na yenye uzalendo…