Hawza/ Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi Modarresi, miongoni mwa wanazuoni wa Iraq, alisisitiza kwamba; Qur’ani Tukufu imeweka wazi nafasi ya mama katika jamii.