Ayatullah Safi Gulpaigan (1)

  • Jihadharini na wezi wa itikadi

    DiniJihadharini na wezi wa itikadi

    Hawzah/ Ayatullah Ṣāfī Gulpāygānī (ra) alisisitiza kwamba hakuna mali yenye thamani kubwa kuliko “lulu ya akida (itikadi)” kwa Mwenyezi Mungu, Mtume Mtukufu (saw) na Maimamu watoharifu (as).