Hawza/ Ayatullah Sheikh Muhammad Swa'diq Muhammad Karbasi, mwandishi wa “Ensaiklopidia ya Imam Hussein” na Mkuu wa “Kituo cha Tafiti za Imam Hussein” mjini London, amewasili katika nchi za Amerika…