Hawza/ Ustadh Ramadhanii amesema kuwa: Iwapo vikao vya Imam Hussein (as) havitahusisha matatizo ya leo ya Uislamu na masaibu ya Maimamu (as), basi havijatumika ipasavyo kwa uwezo wake kamili.
Hawza/ Mwakilishi wa watu wa Gilan katika Baraza la Wataalamu wa Uongozi (Majlisi Khubragan Rahbari), Ayatollah Reza Ramadhani, amesisitiza juu ya umuhimu wa tukio la Ghadir na kusema kuwa "Ghadir…