Hawza/ Kamati ya wahudumu wa Haram ya Hadhrat Abbas (as), imepokea bendera ya Hadithi ya Ghadir kutoka kwa Bodi ya Wadhamini wa Haram Tukufu ya Alawi, kwa ajili ya kufungwa katika eneo maalumu.
Hawza / Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ahmad al-Safi alisisitiza kwamba; watu wa Iraq wana uhusiano wa kipekee na Mtukufu Ayatullah Sistani, na wanaonesha mwitikio chanya katika miongozo…
Hawza/ Ataba tukufu ya Abbasiyya imeanzisha kampeni ya kukusanya misaada ya wananchi kwa ajili ya kuwaunga mkono watu wa Iran na Lebanon kufuatia matukio ya hivi karibuni katika eneo hilo.
Hawza/ Ataba Tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s) imetangaza uwepo wa zaidi ya mazuwari milioni 21 kwenye maadhimisho ya ziara ya Arubaini, taarifa hii imetolewa kwa kutumia mfumo sahihi wa kuhesabu…