Hujjatul-Islam wal-Muslimin Arif Hussein Wahidi, katika mkutano wa kitaifa wa umoja, alitaja umoja wa umma wa kiislamu kuwa ndio njia pekee ya kukabiliana na maadui, na akataka ujumbe wa Qur’ani…