Hawza/ Alia al-Yasir, mwandishi wa habari wa Iraq, huku akisisitiza ujumbe wa kimataifa wa Mapinduzi ya Kiislamu, aliielezea 22 Bahman kuwa ni alama ya ustahimilivu na kusimama kidete dhidi ya…