Hawza/ Ali al-Gharawi, mhadhiri wa sheria nchini Iraq, amesema kuwa; Katiba ya Iraq inakataza kutumiwa ardhi na anga ya nchi hiyo kama njia ya kufanya uchokozi dhidi ya nchi jirani.