Hawza/ Ali Al-Tawil amesema: Maelekezo ya Marekani ndio sababu kuu inayoendeleza mkwamo wa kisiasa, hususan katika suala la kukamilisha Baraza la Mawaziri la Iraq.