Hawza/ Katika kikao kimoja cha kielimu, Alama Amini alikosolewa kuhusiana na sifa za pekee zinazotumiwa kumuelezea Imam Ali (a.s). Hata hivyo, kwa kutoa jibu lenye hoja na ushahidi, aliweza kukifanya…