Abu Alaa al-Wala’i (8)
-
DuniaKata’ib Sayyid al-Shuhada watoa onyo kwa Marekani na Israel: Muqawama hautakaa kimya mbele ya uchokozi
Hawza/ Ofisi ya kitamaduni ya Harakati ya Muqawama ya Kiislamu ya Kata’ib Sayyid al-Shuhada ndani Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa kutoa taarifa rasmi kujibu kuwekwa kwa zawadi kwa ajili ya kumuua…
-
DuniaShukrani za Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, kutokana na mshikamano wa huzni alio uonesha Abu Alaa al-Wala’i
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, kupitia ujumbe rasmi aliomtumia Abu Alaa al-Wala’i, Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Kata’ib Sayyid…
-
DuniaAl-Wala’i ataka Israel washambuliwe katika kujibu ukiukaji wa usitishaji vita nchini Lebanon
Hawza/ Katibu Mkuu wa Vikosi vya “Sayyid al-Shuhada” vya Iraq ametaka uongozi wa “Mhili wa Muqawama wa Kiislamu” kuilenga Israel katika kujibu mashambulizi ya mabomu dhidi ya Lebanon na ukiukaji…
-
DuniaAbu Alaa al-Wala’i: Trump amelazimika kukubali masharti ya Iran
Hawza/ Abu Alaa al-Wala'i, Katibu Mkuu wa vikosi vya “Sayyid al-Shuhada”, ameusifu uwezo mkubwa na imara wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Abu Alaa al-Walā’ī:
DuniaJibu thabiti la Iran na mapigo ya Muqawama vimefichua udhaifu wa kambi za Marekani
Hawza/ Katibu Mkuu wa Muqawama wa Kiislamu “Kataib Sayyid al-Shuhadaa” huku akiisifu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ustahimilivu wake mbele ya wavamizi, alitangaza kuwa; jibu la kushtukiza la…
-
Abu Alaa al-Wala’i:
DuniaMapambano ya muqawama ni ahadi na wajibu wetu ambao hatutauacha
Hawza/ Abu Alaa al-Wala’i, Katibu Mkuu wa Kata’ib Sayyid al-Shuhada, huku akisisitiza kuendelea muqawama dhidi ya vitisho vinavyoikabili dini na taifa, alielezaa kuwa; dhana yoyote kuhusu kuiacha…
-
DuniaAbu Alaa Al-Wala’i: Kuondoka kwa Wamarekani 70,000 kutoka Mashariki ya Kati kulikuwa “kutoroka kwa vurugu”
Hawza/ Katibu Mkuu wa Kataib Sayyid al-Shuhadaa ameelezea kuwa; kuondoka kwa makumi ya maelfu ya Wamarekani kutoka Mashariki ya Kati kuwa ni “kurudi nyuma kwa vurugu na kufanana na kukimbia”,…
-
Katibu Mkuu wa Kata’ib Sayyid ash-Shuhada:
DuniaUchaguzi wa Iraq: “Mapigano Meupe” ya Taifa katika Kuilinda Dhamira ya Muqawama
Hawza/ Katika mwelekeo wa uchaguzi wa Iraq, Abu Alaa al-Wala’i alisema kuwa uchaguzi wa Iraq ni “mapigano meupe” ya kiwango kamili; silaha yake ni kura safi za taifa na uwanjani ni sanduku la…