Hawza/ Abdul Ahmad al-Dulaimi, mwanachama wa muungano wa «Siyada» nchini Iraq, amesisitiza kuwa; Washington imeipa Israel idhini ya kutumia anga ya Iraq ili kuishambulia Iran. Ameelezea hatua…