Jumamosi 26 Septemba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Msimamo wa Viwango Viwili Kuhusu Programu za Nyuklia Si wa Haki

    Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:

    DuniaMsimamo wa Viwango Viwili Kuhusu Programu za Nyuklia Si wa Haki

    Hawza/ Hujjatul Islam Sayyid Sajid Ali Naqvi amekosoa viwango viwili vinavyotumika duniani, huku akisisitiza: Wakati kunapokuwa na ukimya mbele ya jinai za madola yenye siasa za kibeberu na Kizayuni,…

    2026-09-26 18:29
  • Vikosi vya Jeshi la Iran vinazidi kuwa na nguvu siku baada ya siku/ Dkt. Pezeshkian aliifikisha mantiki ya Iran duniani katika Umoja wa Mataifa

    Ayatullah Khatami katika Khutuba za Swala ya Ijumaa ya Tehran:

    DuniaVikosi vya Jeshi la Iran vinazidi kuwa na nguvu siku baada ya siku/ Dkt. Pezeshkian aliifikisha mantiki ya Iran duniani katika Umoja wa Mataifa

    Hawza/ Imam wa muda wa Ijumaa wa Tehran amesema: Rais katika hotuba hiyo aliifikisha mantiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran duniank na akaeleza kwa uwazi misimamo ya taifa la Iran.

    2026-09-26 17:28
  • Lebanon Ipo Kwenye Njia ya Kujiua Kijamii na Kuporomoka Kiutawala

    Sheikh Ahmad Qabalan:

    DuniaLebanon Ipo Kwenye Njia ya Kujiua Kijamii na Kuporomoka Kiutawala

    Hawza/ Sheikh Ahmad Qabalan, mwanazuoni wa Kishia na Mufti Mkuu wa Jaafari wa Lebanon, amesema kuwa: Serikali ya utendaji iliyopo sasa imeiweka Lebanon katikati ya mkwamo unaobadilika na kuwa…

    2026-09-26 16:27
  • Video | Kazi Mpya ya Kisanii ya Kamal Sharaf Kumhusu Netanyahu katika Umoja wa Mataifa

    DuniaVideo | Kazi Mpya ya Kisanii ya Kamal Sharaf Kumhusu Netanyahu katika Umoja wa Mataifa

    Hawza/ Msanii wa Yemen, Kamal Sharaf, ameikamilisha kazi mpya ya kisanii iliyopewa msukumo na hotuba ya Netanyahu katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

    2026-09-26 15:26
  • Hotuba ya Rais wa Iran, katika Umoja wa Mataifa ilikuwa utetezi wa kimaadili na wenye kuelimisha/ Wananchi wanapaswa kujizatiti kwa ajili ya kuilinda Iran

    Ayatullah Saidii katika Swala ya Ijumaa ya Qum:

    DuniaHotuba ya Rais wa Iran, katika Umoja wa Mataifa ilikuwa utetezi wa kimaadili na wenye kuelimisha/ Wananchi wanapaswa kujizatiti kwa ajili ya kuilinda Iran

    Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum amesema: Hotuba ya Rais wa Iran, katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ilikuwa mchanganyiko wa mantiki ya kisiasa, utetezi wa haki na kueleza misimamo…

    2026-09-26 14:25

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom