-
Hadithi ya Leo:
DuniaFadhila Zinazopatikana Katika Swala ya Jamaa
Hawzah/ Mtume Mtukufu wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) katika riwaya moja ameeleza kuhusu fadhila na ubora wa kuswali jamaa ikilinganishwa na kuswali mtu peke yake.
-
Ayatullah Mervi katika darsa ya Kha'riji:
DuniaUshindi wa wananchi wa Yemen wanaopinga dhuluma ni “Ushindi juu ya Ushindi”/ Alaani vikali shambulio dhidi ya Chuo cha Kiislamu cha Khatam al-Nabiyyin (s.a.w.w.) nchini Afghanistan
Hawzah/ Naibu Katibu wa Pili wa Baraza Kuu la Hawza nchini Iran, amesema ushindi wa wananchi waliodhulumiwa na wanaopinga dhuluma nchini Yemen ni “Ushindi juu ya Ushindi”, na akasisitiza: “Kwa…
-
Hukumu za Kisheria:
DiniKupokea Posho na Msaada wa Kifedha Pasi na Kuzingatia Ratiba ya Masomo
Hawzah/ Ayatullah Shahidi Sayyid Ali Khamenei amejibu swali la kisheria kuhusu “kupokea posho ya masomo na msaada wa kifedha pasi na kuzingatia ratiba ya masomo.”
-
Mwakilishi wa Ataba ya Alawiya Nchini Iraq:
DuniaUshirikiano wa Hawzah za Iran na Iraq Uimarishwe Katika Nyanja za Kielimu na Kiutamaduni
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Naba Al-Hamami, akipongeza Maonesho ya 11 ya Kitaalamu ya Vitabu vya Hawzah na Maarifa ya Kiislamu, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano kati…
-
Imam wa Ijumaa wa Najaf:
DuniaTunataka Kusimama Dhidi ya Israel na Kukomesha Migogoro Katika Nchi za Kiarabu na Kiislamu
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanji amezungumzia uwepo wa rais wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu nchini Syria, katika umbali wa kilomita 35 kutoka Damascus.
-
DuniaSheikh Al-Khatib Atahadharisha Kuhusiana na Kunyang’anywa Silaha Muqawama Chini ya Kuvuli cha Wavamizi
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon, Sheikh Ali Al-Khatib, ameeleza kuhusu mwaliko wa Rais wa Lebanon wa kuandaliwa mazungumzo mapana ya kitaifa yatakayowakutan…