-
DuniaMjumbe wa Hizbullah: Kuondoa nguzo kuu ya Lebanon ni ndoto tu
Hawza/ Sheikh Muhammad Amrū alisisitiza kuwa mashinikizo ya kisiasa dhidi ya Lebanon hayatakuwa na matokeo yoyote maadamu mshikamano wa kitaifa unabaki kuwa nguzo kuu na tegemeo la nchi.
-
DuniaPalestina yalaani mswada wa Israel kuhusu kuzuia adhana misikitini
Hawza / Baraza Kuu la Fatwa nchini Palestina limelaani muswada uliowasilishwa na utawala haramu wa Israel unaolenga kuweka vikwazo vikali kuhusu kuadhiniwa misikitini.
-
DuniaTadhari kutoka kwa mtafiti wa siasa kuhusiana na hali ya kutisha inayotawala Syria; wachache wanazidi kumalizwa taratibu
Hawza/ Iyas Al-Khatib alisisitiza kuwa kile kinachoonekana leo, maandamano na madai ya haki ya kujitawala na kulinda heshima katika miji ya Tartus na Latakia ni matokeo ya kiasili.
-
HawzaItikafu yapaswa kusalia kuwa kitovu cha kuimarisha maarifa ya kizazi cha vijana
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, kwa kusisitiza umuhimu wa kulinda harakati ya Itikafu, ameielezea ibada hii kuwa ni uwezo wa kimkakati kwa ajili ya kuimarisha maarifa ya kidini, kuilinda…