-
Ayatullah A‘rafi katika Kongamano la Mirza Naa’ini nchini Iraq:
DuniaMarjaa wakubwa wa Najaf na Qum leo hii, kama ilivyokuwa kwa Naa’ini, ni ngome imara dhidi ya uvamizi wa madhalimu Iraq, Iran na ulimwengu wa Kiislamu
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza Iran, amesema: Mirza Naa’ini alisimama mara nyingi dhidi ya Waingereza, na kila mara uhuru wa Uislamu na heshima ya Umma ulipokuwa hatarini, wanachuoni wakuu wa Najaf,…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi Iran:
DuniaJamhuri ya Kiislamu imeonyesha kuwa ni kitovu cha azma na nguvu / Mbele ya adui wote mshikamane, kama katika vita vya siku 12
Hawza/ Ayatollah Ali Khamenei kuhusiana na masuala ya eneo na vita vya siku 12 amesema: Katika vita vya siku 12, taifa la Iran bila shaka liliwashinda Marekani na utawala wa Kizayuni. Walikuja…
-
DuniaHaram Tukufu ya Alawi yapokea Ujumbe wa Iran Unaoshiriki Kwenye Kongamano la Kimataifa la Allama Mirza Na’ini
Hawza/ Katika muktadha wa ushirikiano wa kitamaduni kati ya Iran na Iraq, Haram Tukufu ya Alawi siku ya Jumatano imeupokea ujumbe wa Iran uliokwenda kwenye Kongamano la Mirza Na’ini, ambalo linafanyik…
-
DuniaRipoti Kuhusiana na Kuanza Rasmi Kongamano la Kimataifa la Kumuenzi Ayatullah Mirza Na’ini Huko Najaf Ashraf
Hawza/ Kongamano la kimataifa la kumuenzi Allama Na’ini limefanyika kwa ushiriki wa wanazuoni na watu mashuhuri kwenye Haram Tukufu ya Alawi, na katika hafla hiyo pia kumezinduliwa mkusanyiko…
-
Katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Kituo cha Tafiti za Kimkakati cha Al-Mindhar ilielezwa:
DuniaMtazamo nyuma ya pazia kuhusiana na mauaji ya “Shahidi Haytham Tibataaba’i”
Hawza/ Dkt. Hasan Al-Abbaadi, Mkurugenzi wa Kituo cha Tafiti za Kimkakati cha Al-Mindhar amesema: Shahidi Tabataaba’i alikuwa na nafasi ya msingi katika kusimamia vita kwa ajili ya kusaidia Muqawama…
-
Mafunzo Katika Sahifa Sajjadia:
DiniDaima Jione Kuwa ni Mwenye Mapungufu
Hawza/ Kuona matendo mema kuwa makubwa na kuyafanya makosa na madhambi yaonekane kuwa ni madogo, kunaweza kuwa kikwazo katika njia ya ucha-Mungu wa mwanadamu; kwa hiyo, usia wa Maa’sumina (amani…