-
Rais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan:
DuniaNjia ya uokovu wa Umma katika zama za fitna imo katika mafundisho ya subira na munajat ya Imam Zaynu l-‘Ābidīn (as)
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimīn Sayyid Sajid Ali Naqavi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya shahada ya Imam Zaynu l-‘Ābidīn (as) amesisitiza kuwa: Mtukufu huyo…
-
Ayatollah Ghuraifi:
DuniaUjumbe wa Ashura utaendelea muda wa kuwa kuna dhulma, udikteta na ufisadi
Hawza / Ayatollah Sayyid Abdullah Ghuraifi, mmoja wa maulamaa mashuhuri wa Bahrain, amesisitiza kuwa ujumbe wa Ashura ni kukataa ufisadi, dhulma, uovu, upotovu, batili na utumwa.
-
DuniaMaandamano ya kupinga Uzayuni yameendelea nchini Jordan
Hawza/ Mitaa ya maeneo kadhaa ya Jordan tangia jana imeshuhudia maandamano ya wananchi dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Ghaza, wananchi wa Jordan, licha ya hatua kali za…