-
Mwanazuoni Mashuhuri nchini India:
DuniaHawza ni zaidi ya mafunzo na kufundisha, ni kiongozi wa Mapinduzi ya Kifikra na Kimaadili
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Aqil al-Gharawi, katika hotuba yake, alibainisha kwamba Hawza si kituo cha masomo tu, bali ni chimbuko la mapinduzi ya kifikra na kimaadili, walimu wanapaswa kuweka…
-
DuniaKenya waandaa kongamano la kuadhimisha miaka 36 tangia kufariki kwa Imam Khomeini (ra)
Hawaza/ Wananchi wa Kenya wameshirikiana na Baadhi ya Wairani wanao ishi katika nchi hiyo kwa ajili ya kuadhimisha miaka 36 tangia kufariki kwa Imam Khomeini (ra).
-
DuniaMtafiti wa Uingereza: Kadhia ya Palestina Imeonesha Kuwa Kanuni za Kimataifa Hazina Ufanisi!
Hawza/ Kwa mujibu wa Salman Sayyid kutoka Chuo Kikuu cha Leeds, Uingereza, kadhia ya Palestina ni mada inayohusu madai ya haki duniani kote leo hii.
-
DuniaMakumi ya safari za ndege zafutwa katika viwanja visivyo salama vya Ndege vya Israel; Mdororo Mkubwa Upo Njiani!
Hawza/ Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuhusiana na ongezeko kubwa la bei za safari za ndege kwa wale wanaokimbia kutoka Israel na kushuka kwa bei za tiketi za kurejea nchini humo.