-
HawzaRadi amali ya Hawza kutokana na Upuuzi wa Kubadili Jina la Ghuba ya Uajemi / Hawza ni Ngome Imara Dhidi ya Waharibifu wa Utambulisho wa Kitaifa wa Wairani
Hawza inapinga vikali aina yoyote ya uvamizi na upuuzi kuhusiana na kubadilisha jina la "Ghuba ya Daima ya Uajemi", na inasisitiza juu ya kutetea rasilimali za kitamaduni zilizopo eneo hili pamoja…
-
HawzaBarua ya Ayatollah Arafi kumuelekea Imam Khamenei / Ahadi na Kiaga cha Wanahawza kwa Ajili ya Kutekeleza Azimio la “Hawza Inayosonga mbele na Iliyopo Kileleni”
Mkurugenzi wa Hawza nchi Irani, ametoa shukrani na pongezi kutokana ujumbe wa kihistoria na muhimu ulio tolewa na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwenye kongamano la kumbukumbu ya miaka…
-
Maadili ya kiislamu:
DiniElimu isiyo ambatana na ufikiriaji, haina faida
Kuujaza ubongo wa mtu kanuni za kisayansi, mantiki na falsafa, au elimu yoyote kutakuwa na athari ndogo sana hadi hapo kutakapokuwa na misingi ya fikra sahihi, mtazamo wazi ulimwenguni na kuitambua…
-
Hadithi ya leo:
DiniImamu Hussein (a.s): Acha maisha ya kidhalili
Kifo cha heshima ni bora kuliko maisha ya kidhalili. Mauti ni bora kuliko kuhusishwa na udhalili, na udhalili ni bora kuliko kuingia Motoni.