-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivi wakati wa hasira, wa kuridhia na kuwa na nguvu
Muumini anapokasirika, hasira yake haimuondoi katika haki.
-
HawzaPingamizi la kihistoria kutoka dini tofauti nchini India dhidi ya uharibifu wa Makaburi ya Baqi: Hatutatulia Hadi Makaburi ya Wana wa Mtume yarekebishwe
Hawza: Katika matembezi makubwa yaliyoandaliwa mjini Mumbai, wafuasi wa dini na madhehebu tofauti walisimama bega kwa bega na kupaza sauti moja huku wakisema: "Hatutakaa kimya hadi makaburi ya…
-
Ayatollah Al-Udhma Jawadi Amoli:
DiniKama hatutakuwa na mvuto wa kiroho, maneno yetu hayataathiri jamii
Hadhrat Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli amesema: Mtoa mawaidha ni yule mtu ambae amekomaa kiroho, mahiri, maneno yake yana mvuto unaowafanya watu wavutiwe naye.
-
HawzaMaulamaa wa Bahrain wakosoa ulimwengu ulivyo kaa kimya dhidi ya uhalifu wa kivita unaoendelea Ghaza
Hawza, maulamaa mashuhuri wa Bahrain wamekemea vikali jinai ya kibaguzi na kikabila ya mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina.
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli:
DiniIkiwa jamii itaishi kwa mujibu wa Qur’ani, adui hataweza kuishambulia
Hawza/ Hadhrat Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli amesisitiza kwamba Qur’ani inapaswa kuwa sehemu hai ya maisha ya Waislamu, na kusema kuwa: "Umma wa kiislamu unapaswa kuwa imara kiasi cha kwamba…